• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano kuhusu uhamiaji na maendeleo waanza Morocco

  (GMT+08:00) 2018-12-06 09:31:45

  Mkutano mkuu wa 11 wa Baraza la Kimataifa kuhusu Uhamiaji na Maendeleo GFMD umeanza mjini Marrakech, Morocco, na kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi zaidi ya 100. Chini ya kauli mbiu ya "Kuheshimu Ahadi za Kimataifa za Kuibua Nguvu iliyofichika ya Wahamiaji Wote kwa ajili ya Maendeleo", mkutano huo unatoa fursa kwa jumuiya ya uhamiaji duniani kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uhamiaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako