• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Utafiti waonyesha maendeleo katika sekta ya biashara nchini Zambia

  (GMT+08:00) 2018-12-06 19:06:42

  Shughuli za kibiashara nchini Zambia zimeboreshwa kwa mwezi Novemba, ikilinganishwa na miezi minne iliyopita.

  Kielelezo cha Kusimamia Manunuzi (PMI) kilichotolewa na Benki ya Stanbic kimeonyesha kuwa, mwezi Novemba umeleta nafuu iliyohitajika sana kwa kampuni za sekta binafsi, ambazo zilionesha maboresho kidogo ikilinganishwa na miezi iliyopita.

  Benki hiyo imesema, ingawa PMI ya mwezi Novemba ya alama 48.1 bado iko chini ya alama 5 iliyolengwa, bado iko juu ya ile ya mwezi Oktoba kutokana na kupungua kwa uzalishaji na mahitaji mapya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako