• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Zimbabwe : Zimbabwe kuruhusu kampuni mbili zaidi kwenye sekta ya almasi

  (GMT+08:00) 2018-12-06 20:45:15

  Waziri wa madini wa Zimbabwe Winston Chitando amesema serikali itaruhusu kampuni mbili zaidi za kibinafsi kuwekeza kwenye sekta ya almasi nchini humo.

  Kufuatia hatua hiyo sasa idadi ya makampuni ya kibinafsi yanayofanya uchimbaji au utafiti wa almasi nchini humo yanafikia 4.

  Wiki iliopita Chitando alisema kampuni yoyote au mtu binafsi anayetaka kuchimba madini hayo atahiytajika kufanya ubia na kampuni hizo nne.

  Mashamba makubwa ya almasi yako mashariki mwa nchi hiyo na yanamilikiwa na serikali.

  Serikali inatarajia kuzalisha karati milioni 3.5 mwaka huu za almasi mwaka huu, kutoka milioni 2.5 mwaka wa 2017.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako