• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Djibouti: Bandari ya Djibouti kurejelea huduma zake kwa Sudan kusini

  (GMT+08:00) 2018-12-06 20:46:24

  Bandari ya Djibouti itarejelea huduma inazotoa kwa Sudan Kusini kufutia kurejea kwa amani nchini homo.

  Mkurungezi mkuu wa bandari ya Duraleh nchini Djibouti Wahib Daher Aden, amesema bandari hiyo pia itatoa huduma Burundi na Rwanda.

  Bandari hiyo ambayo ilianza opaeresheni mwaka 2017 imefanya upanuzi mkubwa ili kutoa huduma kwa nchi za Afrika mashariki kama vile ujenzi wa reli inayounganisha nchi hiyo na Ethiopia.

  Aden amesema bandari hiyo kwa mara ya kwanza mwezi Disemba inatarajiwa kupokea meli kubwa ya shehena ya tani 80,000 ambayo imebeba nafaka za kuelekea nchini Ethiopia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako