• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sudan: Kampuni za Marekani na Russia zapania kuwekeza kwenye sekta ya mafuta Sudan

  (GMT+08:00) 2018-12-06 20:46:42

  Serikali ya sudan imesema imepata maombi ya wawekezaji wa Russia wa kuwekeza kwenye sekta ya mafuta nchini humo.

  Kampuni ya TK Ural Trade inatarajia kujenga kiwanda cha kusafisha mapipa 200,000 ya mafuta kwa siku.

  Aidha kampuni nyingine ya Marekani Energy Link inaomba kujenga kiwanda cha kusafisha mapipa 100,000.

  Waziri wa petroli na madini wa Sudan Azhari A. Abdalla amesema wizara yake imepokea maombi kutoka kwa kampuni hizo mbili mwezi Oktoba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako