• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kura za maoni kuhusu katiba ya Libya zatarajiwa kupigwa kabla ya mwishoni mwa Februari

    (GMT+08:00) 2018-12-07 09:41:59

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Libya Bw. Imad Al-Sayah amesema kura za maoni kuhusu katiba ya kudumu zinatarajiwa kupigwa kabla ya mwishoni mwa mwezi Februari mwakani. Pia amesema kuna haja ya kukidhi matakwa mbalimbali kabla ya upigaji kura huo, na cha muhimu zaidi ni mpango wa kulinda usalama wa vituo vya kupigia kura, wafanyakazi wa tume na wapiga kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako