• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaunga mkono ushirikiano wa UM na mashirika ya kikanda katika kuzuia na kutatua mgogoro

    (GMT+08:00) 2018-12-07 09:42:20

    Mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Ma Zhaoxu amesema China itaendelea kuunga mkono ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kikanda katika kuzuia na kutatua mgogoro.

    Kwenye mdahalo wa wazi wa Baraza la Usalama, Balozi Ma amesisitiza umuhimu wa kutumia nafasi ya kipekee ya mashirika ya kikanda na nchi za kikanda zinazonufaika na ujuzi wa moja kwa moja wa historia, utamaduni na hali halisi za kanda zao zenyewe, na zinafaa kwa njia za kipekee kushughulikia masuala mbalimbali ya sasa ya kikanda na nafasi yao haiwezi kuchukuliwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako