• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • 13 wauawa Yemen wakati mazungumzo ya amani yakiendelea Sweden

    (GMT+08:00) 2018-12-07 09:42:51

    Mapambano yameendelea kati ya pande mbili hasimu za vikosi vinavyoiunga mkono serikali na waasi wa Houthi nchini Yemen, licha ya mazungumzo yaliyopatanishwa na Umoja wa Mataifa kuanza nchini Sweden jana. Zaidi ya waasi 10 wa Houthi na askari watatu wanaoitii serikali inayoungwa mkono na Saudi Arabia waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako