• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kikosi cha wachezaji wa Zanzibar tayari kimeingia kambini kujifua

  (GMT+08:00) 2018-12-07 10:13:26
  Jumla ya wachezaji 30 wanatarajia kuanza mazoezi ya timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 18 ya wanawake upande wa Zanzibar kujiandaa na mashindano ya mpira wa mikono ya Afrika Mashariki na kati yatakayofanyika nchini Rwanda.

  Kocha mkuu wa timu ya taifa ya ya mpiwa wa kikapu ya wanawake ya Zanzibar Kombo Ali Kombo amesema timu yake imeanza maandalizi ya mashindano hayo na anatarajia kufanya vizuri katika mashindano yatakayojumuisha timu kutpka Rwanda ambao ni wenyeji, Tanzania, Zanzibar, Kenya, Uganda, Burundi, DRC na Sudan Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako