• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya kuogelea kufanyika Desemba 11 nchini China

  (GMT+08:00) 2018-12-07 10:14:02
  Mashindano ya dunai ya kuogelea yanatarajiwa kuanza Desemba 11 hadi 16 katika eneo la Hangzhou Olympic nchini China.

  Mashindano hayo ni ya 14 yatafanyika kwenye bwawa la kuogelea la mita 25 ambalo ni la kisasa zaidi limejengwa na kampuni ya Italia ya Myrtha Pools na linauwezo wa kuhamishika.

  Kabla kuanza mashinando hayo kutakuwa na mkutano mkuu wa shirikisho la mchezo wa kuogelea duniani (FINA) na kozi ya makocha. Timu mbalimbali za waogeleaji duniani zitashiriki mashindano hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako