• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kutenga shilingi trilioni 1.5 kujenga miundo mbonu ya nishati

    (GMT+08:00) 2018-12-07 19:14:30

    Serikali inalenga kutumia shilingi trilioni 1.5 katika kujenga miundo mbinu ya nishati ikiwa ni mojawapo ya kuhakikisha kila mmoja anapata umeme ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.Mpango huo ambao unatekelezwa kwa ushirikiano na benki kuu ya Kenya unalenga kutengeneza zaidi ya megawati 3000 za umeme. Baadhi ya fedha hizo ni mikopo ya riba nafuu. Shilingi bilioni 520 ni kwa kawi ya mvuke, shilingi bilioni 290 ni kwa kawi zingine na shilingi bilioni 290 ni kuongeza uwezo wa kusambaza kawi katika kampuni ya Ketraco.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako