• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti wa mkutano wa hali ya hewa wa Umoja wa Mataifa azitaka pande mbalimbali zihimize kufikia makubaliano

    (GMT+08:00) 2018-12-09 18:44:21

    Mkutano wa hali ya hewa wa Katowice wa Umoja wa Mataifa jana uliitisha mkutano na waandishi wa habari ukieleza maendeleo yaliyopatikana kwenye mkutano huo katika wiki iliyopita. Mwenyekiti wa mkutano huo ambaye pia ni naibu waziri wa mazingira wa Poland Bw. Michal Kurtyrta alizitaka pande mbalimbali ziondoe maoni tofauti na kuhimiza kufikia makubaliano.

    Bw. Kurtyrta amesema mkutano huo umepata maendeleo, kwa mfano mwanzoni mwa mkutano huo benki ya dunia imetangaza kukusanya dola za kimarekeni bilioni 200 za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, lakini kazi nyingi bado hazijamalizika. Amewataka mawaziri wa nchi mbalimbali washikamane na kuonesha nguvu ya uongozi katika kutatua masuala yaliyokwama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako