• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU NBA: Matokeo ya ligi ya kikapu Marekani: Boston Celtics waandika rekodi mpya ya ushindi

    (GMT+08:00) 2018-12-10 08:31:19

    Usiku wa kuamkia jumapili hii kulifanyika mechi tisa za ligi kuu ya mpira wa kikapu ya Marekani, na moja kati ya mechi hizo ilikuwa baina ya mahasimu wa kihistoria Boston Celtics na Chicago Bulls, na Celtics wakifanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa alama 133 kwa 77.

    Ushindi huu pia umeifanya timu ya Boston Celtics kuandika rekodi mpya ya ushindi kwa tofauti kubwa ya alama, ambayo 56, wakivunja rekodi waliyoiweka wao wenyewe mwaka 1962 walipoifunga timu ya Philadelphia SeventhSixers kwa tofauti ya alama 51.

    Shujaa katika mechi hiyo alikuwa ni Jaylen Brown wa Boston Celtics alipata alama 23 za ufungaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako