• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia asema hatua dhidi ya Qatar zinalenga kubadilisha sera yake

    (GMT+08:00) 2018-12-10 09:11:46

    Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Adel al-Jubeir amedhihirisha kuwa hatua dhidi ya Qatar zinalenga kubadilisha sera yake. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya kumalizika kwa mkutano wa 39 wa kilele wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba GCC mjini Riyadh, Saudi Arabia. Bw. Al-Jubeir amesema nchi wanachama zinatarajia kuwa msukosuko na Qatar hautakuwa na athari mbaya kwenye eneo la nchi za Ghuba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako