• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maofisa wa ngazi ya juu wanatarajiwa kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Uhamiaji

    (GMT+08:00) 2018-12-10 09:12:38

    Wanasiasa na maofisa waandamizi watakutana leo mjini Marrakech, Morocco ili kuridhia rasmi Mkataba wa Kimataifa wa Uhamiaji salama, wenye utaratibu na wa Kawaida. Kwenye mkutano huo wa siku mbili, washiriki hao watajadili jinsi za kushughulikia vizuri uhamiaji wa kimataifa na changamoto zake, kuimarisha haki za wahamiaji na kuchangia maendeleo endelevu. Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, imesema mwaka jana watu wapatao milioni 68.5 walikimbia makazi yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako