• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Chama cha wahandisi Uganda chaomba kutengewa kandarasi maalum

    (GMT+08:00) 2018-12-10 18:39:05

    Shirikisho la wahandisi wa umma na makandarasi nchini Uganda wameomba serikali kuwatengea asilimiafulani za kandarasi ambazo watatekeleza wao bila kuhusisha makampuni ya kigeni.

    Rais wa Chama cha Taifa cha Makontrakta wa Ujenzi na Uhandisi Francis Karuhanga, alisema kuanzisha mpango wa kitaifa wa kutenga kandarasi kwa wahandisi wenyeji kutawawezesha kutekeleza miradi mikubwa ya miundo msingi.

    anapendekeza kuwa kandarasi zote za ujenzi wa barabara na madaraja za thamani ya chini ya shilingi bilioni 30 zipewe makandarasi wenyeji.

    Pia shirikisho hilo linaomba watunga sera kuweka sera dhabiti kwa sekta ya ujenzi ili kuwepo na ushindani wa haki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako