• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Benki za Nic na CBA zajadili muungano

    (GMT+08:00) 2018-12-10 18:39:53

    Wakuu wa benki za Nic na CBA (Commercial Bank of Africa) nchini Uganda wanafanya mazungumzo ya kuunganisha benki hizo mbili.

    Ikiwa hatimaye watakubaliana kuziunganisha, utakuwa ni moja wepo wa miungano mikubwa ya taasisi za kifedha kanza ya Afrika Mashariki.

    Wanatarajia kuendelea na mazungumzo na kuungana mwaka ujao.

    Maafisa wakuu wa benki hizo wanasema wanapanga kuungana ili kuongeza mgao wao wa soko kwenye kanda hizo ya Afrika Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako