• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mauzo ya kahawa Kenya yapanda

    (GMT+08:00) 2018-12-10 18:41:07

    Mauzo ya kahawa nchini Kenya ya kipindi cha kati ya Oktoba na Novemba mwaka huu yamefikia shilingi bilioni 1.6.

    Kituo cha uuzaji kahawa cha Nairobi kinasema kuwa uongezeko la mauzo imechangiwa na ubora ya kahawa kutoka magharibi mwa Kenya.

    Kipindi sawa na hicho mwaka jana mauzo yalifikia shilingi bilioni 1.57.

    Mkuu wa kituo hicho Daniel Mbithi amesema hata hivyo kuongezeka kwa kahawa kumepelekea kushuka kwa bei kwenye soko la kimataifa

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako