• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Marefa wa mechi ya Gor Mahia dhidi ya Lobi Stars ya Nigeria watajwa

    (GMT+08:00) 2018-12-11 08:20:51

    Waamuzi watakaosimamia mechi ya raundi ya kwanza ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati ya wenyeji Gor Mahia na wageni Lobi Stars kutoka Nigeria mechi itakayochezwa desemba 16 jijini Nairobi wametajwa.

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limewataja Mtunisia Slim Belkhouas atakuwa mwamuzi wa kati, atasaidiwa na washika vibendera Khalil Hassan na Jridi Faouz wote kutoka Tunisia. Mike Letti kutoka Uganda atakuwa kamisaa wa mchezo.

    Gor Mahia ilijikatia tiketi ya kushiriki raundi ya kwanza baada ya kuitoa nje miamba wa Malawi, Nyasa Big Bullets kwa mikwaju ya penalti

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako