• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Ujerumani zakubali kuimarisha uhusiano

    (GMT+08:00) 2018-12-11 09:43:17

    Rais Xi Jinping wa China na mwenzake wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ambaye yuko katika ziara ya siku sita nchini China, wamekubali kuimarisha uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa pande zote, ili kuwanufaisha wananchi wa nchi hizo mbili, na kuhimiza amani na ustawi wa dunia.

    Rais Xi amesema mabadiliko makubwa yenye utatanishi yanatokea duniani, na China na Ujerumani zina maoni ya pamoja juu ya masuala mengi.

    Wakati huo huo, waziri mkuu wa China Bw Li Keqiang na rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani jana walisaini makubaliano kuhusu kulinda kwa pamoja biashara huria na utaratibu wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako