• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Ukraine asaini sheria ya kukomesha mkataba wa urafiki na Russia

    (GMT+08:00) 2018-12-11 10:07:23

    Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amesaini sheria ya kukomesha Mkataba wa Urafiki, Ushirikiano na Uhusiano wa Kiwenzi kati ya nchi yake na Russia. Mkataba huo ambao umedumu kwa miongo miwili utamalizika tarehe mosi, Aprili mwakani, kutokana na kuongezeka kwa mivutano kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako