• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapalestina 32 wajeruhiwa katika mapambano na askari wa Israel kaskazini mwa Gaza

    (GMT+08:00) 2018-12-11 10:07:46

    Waandamanaji wasiopungua 32 wamejeruhiwa katika mapambano yaliyotokea jana kati yao na askari wa Israel wanaolinda mpaka kati ya eneo la kaskazini la Ukanda wa Gaza na Israel. Kila Jumatatu, waandamanaji wa Palestina wanakusanyika katika eneo la mpaka na Israel wakiitaka Israel kukomesha kuzingira eneo hilo la pwani, ambako kumedumu kwa miaka 12.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako