• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapambano mapya yaibuka kati ya pande hasimu za Yemen huko Hodeidah

    (GMT+08:00) 2018-12-11 10:08:07

    Mapambano mapya yaliibuka usiku wa jana kati ya jeshi la serikali ya Yemen na waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran katika eneo karibu na majengo muhimu ya serikali katika mji wa kimkakati wa bandari wa Hodeidah. Wakazi wa eneo hilo wamesema silaha nzito kama vile mizinga zilitumika, na kusababisha milipuko mikubwa katika mji huo, ambao umeshuhudia usitishwaji vita kwa muda mfupi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako