• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yatoa sera mpya ya kuwazuia magaidi kutumia silaha za maangamizi

    (GMT+08:00) 2018-12-11 20:58:03

    Rais Donald Trump wa Marekani ameidhinisha sera mpya ya taifa ambayo inalenga kuzuia makundi yenye msimamo mkali ikiwemo kundi la Islamic State (IS) kutumia silaha za maangamizi na kufanya mashambulizi.

    Taarifa iliyotolewa jana na Ikulu ya Marekani imesema, sera hiyo ina sehemu tatu muhimu, zikiwemo kufunga kabisanjia za magaidi za kupata silaha za maangamizi na malighafi za kuzitengeneza, kuweka shinikizo kwa makundi ya kigaidi yaliyojaribu kupata silaha za maangamizi kwa njia ya kupinga wataalamu magaidi na wasaidizi wao wa kutengeneza silaha za maangamizi, na kuimarisha uwezo wa ulinzi dhidi ya tishio la silaha za maangamizi nchini Marekani na nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako