• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa UM kuhusu uhamiaji wamalizika Morocco kwa kufikia mkataba

    (GMT+08:00) 2018-12-12 09:28:05

    Mkutano wa kati ya serikali wa Umoja wa Mataifa kuhusu uhamiaji wa kimataifa umemalizika mjini Marrakech, Morocco. Mkutano huo wa siku mbili umeshuhudia kupitishwa rasmi kwa Mkataba wa Kimataifa wa Uhamiaji Salama, Wenye Utaratibu na wa Kawaida na nchi zaidi ya 150. Akikutana na waandishi wa habari, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu uhamiaji wa kimataifa Louise Arbour amesema mkutano huo ni jambo la kihistoria kwa uhamiaji na sera ya ushirikiano wa pande nyingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako