• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda na Tanzania zajadili mradi wa reli

    (GMT+08:00) 2018-12-12 18:30:53

    Waziri wa miundo mbinu wa Rwanda, Claver Gatete, na mwezake wa Tanzania, Isack Kamwelwe, wanakutana mjini kujadili utekelezaji wa ujenzi wa reli ya kati ya Isaka na Kigali .

    Mkutano huo unafuatia vikao vya wiki jana vya wataalam kutoka pande zote mbili waliojadili maswala yaliosalia kuhusu mradi huo.

    Huu ni mkutano wa pili kati ya nchi hizo mbili ndani ya kipindi cha miezi miwili.

    Kwenye mkutano uliopita pande zote mbili zilikubaliana kuwa makatibu wa wizara hizo wataidhinisha makubaliano kuhusu ufadhili na utekelezaji wa mradi huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako