• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Thailand yatafuta uwekezaji Uganda

    (GMT+08:00) 2018-12-12 18:31:47

    Wawekezaji wa Thailand wanatafuta maeneo ya kupanda mpunga nchini Uganda.

    Balozi wa Thailanda katika kanda ya Afrika Mashariki Cherdkiat Atthakor amesema wawekezaji hao wangependa kufanya kilimo cha kisasa cha mpunga kwa kutumia mashine.

    Aidha wanapanga pia kujenga hosptali za kisasa ili kuhimiza utalii wa matibabu.

    Thailand hizi karibuni imetoa msaada wa masomo kwa wanafunzi 35 wa Uganda

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako