• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nairobi: Shirika la ndege la kuanza kusafirsha mizigo kati ya mji wa Eldoret na ulaya.

    (GMT+08:00) 2018-12-12 18:32:06

    Shirika la ndege la Ethiopia limeanzisha huduma za kusafirisha mizigo kati ya mji wa Eldoret nchini Kenya kwenda kwenye masoko ya ulaya.

    Bidhaa zitakazosafirishwa ni pamoja na maua na nyingine za kilimo.

    Maneja wa uwanja wa ndege wa Eldoret Walter Agong amesema ndege ya shirika hilo itatua na bidhaa kama vile elektroniki na kuondoka na bidhaa za kilimo.

    Hata hivyo amesema eneo la magharibi mwa Kenya halina bidhaa za kilimo za kutosha ndege moja yamizigo na hivyo baadhi ya ndege zitahiytaji kupitia Nairobi ili kujaza shehena.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako