• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Toyota yaongoza kwa mauzo ya magari Kenya

    (GMT+08:00) 2018-12-13 19:21:21

    Taakwimu kutoka kwa mammlaka ya ushuru ya Kenya KRA zinaonyesha kuwa kampuni ya Toyota ndio yenye mauzo makubwa ya gari nchini humo.

    Kulingana na taakwimu hizo mgao wa mauzo wa Toyota ni asilimi 57.3.

    Na kwa jumla kampuni za Japana ndio zinazouza asilimia kubwa ya magari kwenye soko la Kenya.

    Taakwimu zinaonyesha kuwa kwa pamoja kampuni za Nissan, Honda na Isuzu zinauza asilimia 91 ya magari yote nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako