• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakulima kupata mbolea kwa bei iliopunguzwa

    (GMT+08:00) 2018-12-13 19:21:54

    Wakulima nchini Kenya watanunua mbolea kwa bei iliopunguzwa kupitia kwa halamshauri ya nafaka nchini humo

    Serikali itatoa vocha kwa wakulima ambazo watawasilisha kwa halmashauri hiyo kabla ya kupata mbolea.

    Katibu wa kudumu kwenye wizara ya kilimo Hamadi Boga amesema kila eneo litapokea mbolea inayoendana na mahitaji ya wakulima na udongo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako