• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya biashara ya China yasema mazungumzo ya biashara kati ya China na Marekani yapiga hatua

    (GMT+08:00) 2018-12-14 09:43:59
    Wizara ya biashara ya China yasema mazungumzo ya biashara kati ya China na Marekani yapiga hatua

    Wizara ya biashara ya China imesema, China na Marekani zinafanya mazungumzo kuhusu mambo halisi ili kuhimiza mazungumzo ya kibiashara kati yao.

    Msemaji wa wizara hiyo Bw. Gao Feng amesema China inakaribisha ujumbe wa Marekani kutembelea China na kufanya majadiliano, na inapenda kutuma ujumbe Marekani kufanya mazungumzo.

    Msemaji huyo pia amesema nchi hizo mbili zimefikia makubaliano kuhusu masuala kadhaa yakiwemo bidhaa za kilimo, nishati na magari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako