• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Xie Zhenhua asisitiza kufanya mazungumzo kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya Paris

    (GMT+08:00) 2018-12-14 19:20:52

    Mazungumzo ya mkutano wa hali ya hewa wa Katowice wa Umoja wa Mataifa kuhusu utaratibu wa utekelezaji wa makubaliano ya Paris yameingia kilele jana, mjumbe maalumu wa China anayeshughulikia kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa Bw. Xie Zhenhua amesema katika mkutano na waadishi habari, inapaswa kuunga mkono mfumo wa pande nyingi, na kumaliza mazungumzo kuhusu utaratibu wa utekelezaji wa makubaliano ya Paris ni tarajio la pamoja la pande mbalimbali, na kuimarisha ushirikiano na nchi nyingine zinazounga mkono mfumo wa pande nyingi na makubaliano ya Paris kwa kuhimiza mchakato huo.

    Bw. Xie Zhenhua amesema kutokana na maendeleo ya uchumi na uboreshaji wa maisha ya watu, China inahitaji nishati kwa kiasi kikubwa. Ingawa China ni nchi inayoendelea lakini imetoa mchango mkubwa kwa juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako