• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Reli ya SGR yaongeza mabehewa ili kukabiliana na safari ya Krismasi

    (GMT+08:00) 2018-12-15 17:14:08

    Ili kukabiliana na shinikizo la abiria wakati wa sikukuu ya Krismas, kampuni inayoendesha reli ya SGR ya Kenya, imesema itaongeza mabehewa ya daraja la pili,。Kwa ujumla inatarajiwa kuongeza mabehewa 320, na abiria wanatarajiwa kuongezeka kwa karibu 38,000.

    Kiongozi wa idara ya reli ya Kenya Bw. James Siele amesifu kampuni hiyo kuongeza uwezo wa kupokea abiria na kukidhi mahitaji ya usafiri wakati wa sikukuu ya Krismasi kwa Wakenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako