• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Yang Jiechi ahudhuria ufunguzi wa mkutano wa kamati ya ushauri ya baraza kuu la ushirikiano kuhusu Ukanda Mmoja na Njia Moja

    (GMT+08:00) 2018-12-16 16:49:04

    Mjumbe wa kitaifa wa China Bw. Yang Jiechi leo hapa Beijing amehudhuria ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa kamati ya ushauri ya baraza kuu la ushirikiano kuhusu Ukanda Mmoja na Njia Moja.

    Bw. Yang amesema, kuundwa kwa kamati ya ushauri ni mafanikio makubwa ya ushirikiano wa pande nyingi juu ya Ukanda Mmoja na Njia Moja, na kuwataka wajumbe wa kamati hiyo watoe mapendekezo na ushauri, kuhimiza kwa pamoja ushirikiano kuhusu Ukanda Mmoja na Njia Moja, na kuifanya kamati hiyo iwe benki ya busara ya baraza hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako