• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati ya ushauri ya Baraza kuu la ushirikiano kuhusu "Ukanda Mmoja na Njia Moja" yasifu umuhimu wa pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja"

    (GMT+08:00) 2018-12-18 18:35:51

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, mkutano wa kwanza wa Kamati ya ushauri ya Baraza kuu la ushirikiano kuhusu Ukanda Mmoja na Njia Moja umefanyika leo hapa Beijing, ambapo wajumbe wa kamati hiyo wamesifu umuhimu wa pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja kwenye ushirikiano na maendeleo ya uchumi wa dunia, pia wanatarajia baraza hilo litatoa ishara chanya ya kuunga mkono mfumo wa pande nyingi, kupata maendeleo kwa kufungua mlango na maendeleo ya pamoja na ya kunufaishana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako