• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka: Al Ahly yamtangaza Mruguay, Martin Lasarte, kama kocha wake mpya

    (GMT+08:00) 2018-12-19 09:15:06

    Miamba ya Misri ya Al Ahly imetangaza kumteua Mruguay, Martin Lasarte, kama kocha mpya wa klabu hiyo. Lasarte anarithi mikoba ya Mfaransa, Patrice Carteron, ambaye mkataba wake ulikuwa umemalizika na Ahly baada ya timu hiyo kumaliza nafasi ya pili kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, ikianguka chini ya rekodi ya kutanua taji lake la tisa. Lasarte (57), aliwasaili Cairo juzi usiku na kutembelea makao makuu ya klabu hiyo na kukutana na mwenyekiti wa Ahly, Mahmoud El Khatib ambapo walifikia makubaliano ya kusaini mkataba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako