• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi: Pacquiao ajitapa kuwa na nguvu na kasi zaidi kwenye sherehe yake ya kutimiza miaka 40

    (GMT+08:00) 2018-12-19 09:15:57

    Mwanamasumbwi wa Ufilipino Manny Pacquiao amesema hivi sasa ana nguvu na kasi zaidi wakati akijiandaa kutetea taji lake la dunia na kusema kwamba anasubiria kwa hamu mpambano wake na Mmarekani Adrien Broner utakaofanyika mwezi ujao. Pacquiao ametoa tambo hizo kwenye sherehe yake kubwa na ya kifahari aliyoalika maelfu ya wageni akisherehekea miaka 40 ya kuzaliwa kwake. Rais Rodrigo Duterte ni miongoni mwa watu mashuhuri walioalikwa kwenye sherehe hiyo. Pacquiao alishinda taji lake la mwisho kwa kumchapa Muargentina Lucas Matthysse mwezi Julai huko Kuala Lumpur.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako