• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapinga shutuma dhidi ya China kwenye nyaraka mpya za ulinzi za Japan

    (GMT+08:00) 2018-12-19 11:04:53

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bibi Hua Chunying amesema serikali ya Japan imepitisha nyaraka mpya za ulinzi, ambazo zinashutumu bila ya msingi wowote ujenzi wa ulinzi na mambo ya kijeshi ya China. China inapinga vikali kitendo hicho na imewasilisha malalamiko kwa upande wa Japan.

    Bibi Hua amesema kitendo hicho cha Japan hakisaidii kuboresha na kuendeleza uhusiano kati ya China na Japan, na wala hakisaidii kudumisha amani na utulivu wa kikanda. Amesema China inaihimiza Japan ifuate njia ya kujiendeleza kwa amani, na kuwa na tahadhari kwenye mambo ya usalama wa kijeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako