• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikapu: NBA kuchezwa kwa mara ya kwanza nchini India mwakani

    (GMT+08:00) 2018-12-21 09:58:14

    Mechi za kwanza za NBA zinazotarajiwa kuchezwa nchini India zitatimua vumbi oktoba 4 na 5 mwakani mjini Mumbai, zikitanguliwa na mechi za awali kabla ya msimu kati ya Indiana Pacers na Sacramento Kings na kutangwazwa mubashara na India. Timu ya Kings inamilikwa na Muhindi mwenye hisa kubwa ambaye ni mwenyeji wa Mumbai Vivek Ranadive. Nayo Pacers, ambayo ni ya nne hadi sasa kwenye msimu huu ina wachezaji kama wa NBA kama vile Victor Oladipo na Domantas Sabonis. Akizungumzia gemu hizo mmiliki wa Pacers Herb Simon amesema wamefurahi kuwa timu mbili za kwanza kucheza nchini India.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako