• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kushikilia sera ya mageuzi na kufungua mlango bila kusita

    (GMT+08:00) 2018-12-21 19:57:44

    Katika miaka 40 iliyopita, China imekuwa nchi ya pili kiuchumi duniani kutoka kwa nchi iliyoko kwenye hatarini ya kuvunjika kiuchumi. Mafanikio hayo yamepatikana kutokana na nia yake thabiti katika kufanya mageuzi na kufungua mlango kwa nje bila kusita.

    Mageuzi ya China siku zote yanazingatia mahitaji ya wananchi, huku hatua za mageuzi zikitekelezwa kwa hatua madhubuti. Hivi sasa mageuzi ya China yameingia kwenye kipindi kigumu, na China itafanya juhudi za kukabliana na changamoto kubwa ili kutafuta fursa mpya.

    Sera ya mageuzi na ufunguaji mlango imedumishwa kwa miaka 40, ambayo ni sifa nzuri ya mfumo wa kisiasa wa China, pia ni bahati nzuri kwa wananchi wa China, vilevile inaonekana uzuri wake kwa kukabiliwa na mazingira yasiyotarajiwa ya kimataifa. Njia hiyo ya kujiendeleza kwa China inachangia katika kudumisha ongezeko tulivu la uchumi duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako