• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China inafikiria kulinda haki miliki za ubunifu kwa sheria

    (GMT+08:00) 2018-12-24 09:11:49

    Kwa mujibu wa muswada wa marekebisho ya sheria ya hataza uliowasilishwa jana kujadiliwa kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Bunge la Umma la China, ulinzi wa haki za watu wenye hataza utaimarishwa. Muswada huo unalenga kuongeza fidia kwa wenye hataza wanaoathiriwa na vitendo vya ukiukaji wa hakimiliki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako