• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwekezaji wa fedha ya China katika sekta ya afya na matibabu waongezeka kwa haraka

    (GMT+08:00) 2018-12-24 18:39:59

    Baraza la Serikali ya China leo limewasilisha ripoti kwenye mkutano wa 7 cha kamati ya 13 ya kudumu ya bunge la umma la China kuhusu hali ya kutenga na kutumia fedha katika sekta ya afya na matibabu ikionesha kuwa kati ya mwaka 2013 na mwaka 2017 uwekezaji wa fedha ya China katika sekta ya afya na matibabu uliendelea kuongezeka kwa haraka.

    Waziri wa fedha wa China Bw. Liu Kun ametoa ripoti kwenye mkutano huo akisema kuwa wakati kiasi cha uwekezaji wa fedha kilipoongezeka, ofisi za ngazi mbalimbali za fedha kwa kufuata mpango wa mageuzi ya matibabu, zimeendelea kuboresha matumizi ya fedha kwa kuridhisha utoaji pamoja na mahitaji na kuzingatia mambo muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako