• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Uganda kuwasajili wakulima na viwanda vya chai

  (GMT+08:00) 2018-12-24 19:40:25

  Serikali nchini Uganda inapanga kuwasajili wakulima wa chai pamoja na viwanda husika nchini humo.

  Waziri wa kilimo bwana Christopher Kibanzanga, amesema serikali pia itachukua taakwimu kuhusu mashamba yote ya chai ili kuhifadhi data kwa ajiliya mipango.

  Zoezi hilo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 1.6 kutoka kwa serikali na sekta binafsi.

  Uganda kwa sasa ina viwanda 31 vya chai na bidhaa hiyo ndio ya pili kwa kuiletea nchi fedha za kigeni baada ya utalii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako