• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuzindua treni mpya za mwendo kasi kabla ya Sikukuu ya Spring

    (GMT+08:00) 2018-12-25 09:09:32

    China imezindua treni tatu mpya za mwendo kasi aina ya Fuxing kwenye maonyesho yaliyofanyika jana mjini Beijing. Treni mbili kati ya hizo, zitaanza safari tarehe 5 Januari kabla ya kuingia kwenye pilikapilika za usafiri za Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi ya China, ambazo safari hizo zinatarajiwa kuanza tarehe 21 Januari hadi tarehe mosi, Machi mwaka 2019. Ikiwa ni treni ndefu zaidi ya mwendo kasi nchini China, moja ya treni hizo zilizoonyeshwa ina mabehewa 17 na kasi yake inaweza kufikia kilomita 350 kwa saa, na itazinduliwa kwa safari kati ya Beijing na Shanghai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako