• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kupunguza vikwazo vya soko nchini kote

    (GMT+08:00) 2018-12-25 18:50:57

    China imechukua hatua zaidi za kufungua soko la ndani kwa wawekezaji wa ndani na nchi za nje, kwa kupunguza orodha ya vikwazo ya kuingia soko.

    Toleo la hivi karibuni la orodha ya vikwazo vya kuingia soko lina vipengele 151 na sheria 581, na idadi hizo zimepungua kwa 177 na 288 ikilinganishwa na toleo la awali.

    Mwaka 2016 China ilianza majaribio katika mikoa minne na maeneo huru ya biashara, na zoezi hilo liliongezwa kwenye mikoa 11 mwaka 2017.

    Wapangaji wakuu wa uchumi wameeleza kuwa, orodha hiyo itasaidia soko kufikia jukumu kubwa la kugawa rasilimali na kuwezesha wadau wa masoko wa sekta husika .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako