• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa bahari wa China waongezeka kwa asilimia 7.2 kila mwaka kwa wastani

    (GMT+08:00) 2018-12-25 19:16:16

    Baraza la kudumu la bunge la umma la China jana ilisikiliza ripoti kuhusu hali ya kazi za kuendeleza uchumi wa bahari na kujenga nchi yenye nguvu baharini. Ripoti hiyo imeonesha kuwa uchumi wa bahari wa China umeendelea kuongezeka, na wastani wa kasi ya ongezeko kwa mwaka umefikia asilimia7.2.

    Aidha mpangilio wa uchumi wa bahari umeboreshwa, huku ushirikiano wa kimataifa ukipanuliwa. Ripoti hiyo pia imeonesha kuwa hivi sasa uwezo wa uvumbuzi wa teknolojia za bahari wa China umeongezeka na kiwango cha kuzifanya teknolojia hizo zingie kwenye sekta ya kiuchumi kimeinuka. China itachukua hatua za kuhimiza zaidi maendeleo ya uchumi wa bahari na ujenzi wa nchi yenye nguvu baharini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako