• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wanane wauawa na wengine 22 kujeruhiwa baada ya basi kutekwa mashariki mwa China

    (GMT+08:00) 2018-12-26 08:56:55

    Watu wanane wameuawa na wengine 22 kujeruhiwa baada ya basi lililotekwa nyara kuwaparamia waenda kwa miguu barabarani mkoani Fujian, mashariki mwa China. Majeruhi wamepelekwa hospitalini, mmoja wao akiwa mahututi. Polisi wamemkamata mtuhumiwa ambaye ametambuliwa kuwa ni mwanamume mwenye umri wa miaka 48, asiye na ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako