• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifurushi vilivyopelekwa nchini China yafikia bilioni 50

    (GMT+08:00) 2018-12-28 18:54:26

    Idara ya posta ya China imesema, kifurushi kilichopelekwa kutoka mkoa wa Shaanxi hadi Beijing, kimekuwa kifurushi cha bilioni 50 cha mwaka huu.

    Msemaji wa idara hiyo Bw. Feng Lihu amesema, kuanzia mwaka 2014, idadi ya vifurushi vilivyopelekwa nchini China inaendelea kuchukua nafasi ya kwanza duniani, ambayo imepita idadi jumla ya Marekani, Japan na Ulaya.

    Habari zinasema, mwaka huu, thamani ya bidhaa zilizouzwa kwenye mtandao imefikia karibu dola za Marekani bilioni 1, ambayo ni zaidi ya asilimia 19 ya bidhaa zote zilizouzwa mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako