• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kazi ya vijijini wa kamati kuu ya Chama wafanyika hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-12-29 20:43:49

    Mkutano wa kazi kuhusu vijijini wa kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China umefanyika tarehe 28 na 29. Kwenye mkutano huo rais Xi Jinping wa China amesisitiza kuwa, mwaka 2018 China imepata mafanikio makubwa kwenye maendeleo ya kilimo na vijiji, na serikali inatakiwa kushughulikia vizuri kazi za kilimo, wakulima na vijiji, ili kukabiliana na changamoto mbalimbali, kuhakikisha maendeleo ya uchumi na utulivu wa jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako