• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo kikuu cha radio na televisheni cha China chachagua habari muhimu kumi za kimataifa za mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2018-12-30 21:14:22

    Kituo kikuu cha radio na televisheni cha China leo kimechagua habari muhimu kumi za kimataifa za mwaka 2018.

    1. China ilifanikiwa kuandaa maonesho ya kwanza ya uagizaji bidhaa duniani, na kuhimiza maendeleo ya uchumi wa wazi duniani.

    2. Jumuiya ya kimataifa ilifanya juhudi kushiriki kwenye ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja.

    3. Migogoro ilitokea mara kwa mara, na msukosuko wa Syria ulizidi kuwa mbaya.

    4. Hali ya hatari katika peninsula ya Korea imepungua, na China ilionesha umuhimu wake mkubwa.

    5. Vita vya biashara vilivyosababishwa na Marekani vilileta wasiwasi duniani.

    6. Russia ilijibu vikwazo vilivyowekwa na Magharibi.

    7. Mchakato wa kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya kwa Uingereza unakabiliwa na changamoto nyingi.

    8. Bei ya mafuta ya kimataifa ilibadilika sana.

    9. Nchi mbalimbali zilishirikiana kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

    10. Maendeleo ya Akili Bandia yameingia kwenye kipindi kipya, zama mpya ya akili imekuja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako